Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

Kilimo cha Ndizi Kibiashara: Semina ya Maandalizi | Commercial Banana Farming: A Preparatory Workshop 18.05.2019 Registered

May 18, 2019 @ 10:00 am - 12:00 pm

TZS10,000

Tumepokea maombi yako ya kuhudhuria Semina.Tuta kujulisha kwa njia ya barua pepe ndani ya masaa 48 baada kufanya malipo ili kuthibitisha ushiriki wako. | Your application has been submitted. Once we have received payment, we will contact you via email in 48 hours in order to confirm your seat.

*[For English, please see bottom of this page]

Semina hii ina lengo lakuelimisha washiriki juu ya kilimo cha ndizi kibiashara, pia fursa zilizopo katika kilimo cha ndizi. Elimu juu ya matumizi ya teknolojia ili kuongeza kipato.

Semina hii itatolewa kwa lugha ya Kiswahili.

Washiriki 50 pekee watakao jisajili na kuthibitishwa baada ya malipo ndio watakao pata nafasi ya kuudhuria semina.

Semina hii imegawanyika katika vipindi vinne, mwisho wakila kipindi kutakua na muda wakujadili na kuuliza maswali yanayohusu mada husika.

1. Changamoto za kilimo cha ndizi, suluhisho la changamoto hizo- Miche ya Tissue Culture ni nini? Inapatikanaje? na faida ya teknolojia hii ya Tissue Culture.

2. Maandalizi ya shamba na upandaji – Huu ni msingi wa mafanikio katika kilimo cha ndizi.

3. Usimamizi wa shamba la ndizi – Shughuli za uendeshaji, uwekaji mbolea na umwagiliaji.

4. Gharama za kilimo cha ndizi – Gharama za moja kwa moja, mapato na mapato halisi.

Mzungumzaji:

Tearirwa Elisa
Afisa wa Masoko & Mauzo


Jisajili kwa Tukio hili!
Mara baada ya kusajiliwa, tutahakikisha ushiriki wako kupitia barua pepe. Ikiwa barua pepe ya uthibitisho haijapatikana hadi saa 48 baada ya usajili, tafadhali wasiliana nasi kwenye 255786206243 au info [at] kilimorgano.com. Kumbuka: Kiti chako kitathibitishwa mara moja malipo yanapo pokelewa.
Tafadhali taja Kijiji, Wilaya, Mkoa

English Version:
This is the preparatory phase of the workshop where the participant will be inducted into the commercial aspects of Banana Farming. Using technology to increase profits.

This workshop will be conducted in Swahili.

Only 50 participants to register and confirm payment, will be eligible to attend the workshop.

The course is divided into the following four interesting areas, at the end of each session there will be an interactive discussion.

1. Current challenges in banana plantation and solution- What is Plant tissue culture? How is it done? The benefits of tissue culture.

2. Land preparation and Planting – the key to success in Banana Farming.

3. Management of Banana Plantation – Operational activities, Fertilization, Irrigation.

4. Economics of Banana Farming – Direct Cost of Production, Gross and Net Profit.

Presenter:

Tearirwa Elisa
Marketing & Sales Officer


Register for this Event!
Once you have registered, we will confirm your participation via email or phone. If a confirmation email or phone call is not received up to 48 hours, please inquire with us on 255786206243 or info[ at ] kilimorgano.com. Note: Participants who have registered but have not confirmed their participation will not be able to attend this workshop.
Please mention Village, District, Region

Details

Date:
May 18, 2019
Time:
10:00 am - 12:00 pm
Cost:
TZS10,000
Event Tags:
, , , , , ,

Venue

Girls Guide
Kibasila Street and Mfaume Street, Upanga
Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
255786206243
Website:
www.kilimorgano.com

Organizer

KilimOrgano Limited
Phone:
255786206243
Email:
info@kilimorgano.com
Website:
www.kilimorgano.com
×