Events Search and Views Navigation
April 2019
Commercial Banana Farming: A Preparatory Workshop 13.04.2019
This is the preparatory phase of the workshop where the participant will be inducted into the commercial aspects of Banana Farming. Using technology to increase profits. This workshop will be conducted in English, the workshop in Kiswahili will be announced at a later date. First 25 participants to register will be eligible to attend the workshop. The course is divided into the following four interesting areas, at the end of each session there will be an interactive discussion. 1. Current…
Find out more »May 2019
Kilimo cha Ndizi Kibiashara: Semina ya Maandalizi | Commercial Banana Farming: A Preparatory Workshop 18.05.2019
* Semina hii ina lengo lakuelimisha washiriki juu ya kilimo cha ndizi kibiashara, pia fursa zilizopo katika kilimo cha ndizi. Elimu juu ya matumizi ya teknolojia ili kuongeza kipato. Semina hii itatolewa kwa lugha ya Kiswahili. Washiriki 50 pekee watakao jisajili na kuthibitishwa baada ya malipo ndio watakao pata nafasi ya kuudhuria semina. Semina hii imegawanyika katika vipindi vinne, mwisho wakila kipindi kutakua na muda wakujadili na kuuliza maswali yanayohusu mada husika. 1. Changamoto za kilimo cha ndizi, suluhisho la…
Find out more »July 2019
Commercial Cassava Farming: A Preparatory Workshop 27.07.2019
This is the preparatory phase of the workshop where the participant will be inducted into the commercial aspects of Cassava Farming. Using technology to increase profits. This workshop will be conducted in English. Only 30 participants who register will be eligible to attend the workshop. The course is divided into the following four interesting areas, at the end of each session there will be an interactive discussion. 1. Current challenges in cassava plantation and solution- What is Plant tissue culture…
Find out more »October 2019
Kilimo cha Ndizi Kibiashara: Semina ya Maandalizi | Commercial Banana Farming: A Preparatory Workshop 12.10.2019
* Semina hii ina lengo lakuelimisha washiriki juu ya kilimo cha ndizi kibiashara, pia fursa zilizopo katika kilimo cha ndizi. Elimu juu ya matumizi ya teknolojia ili kuongeza kipato. Semina hii itatolewa kwa lugha ya Kiswahili. Washiriki 50 pekee watakao jisajili na kuthibitishwa baada ya malipo ndio watakao pata nafasi ya kuudhuria semina. Semina hii imegawanyika katika vipindi vinne, mwisho wakila kipindi kutakua na muda wakujadili na kuuliza maswali yanayohusu mada husika. 1. Changamoto za kilimo cha ndizi, suluhisho la…
Find out more »November 2019
Kilimo cha Ndizi Kibiashara: Semina ya Maandalizi | Commercial Banana Farming: A Preparatory Workshop 30.11.2019
* Semina hii ina lengo lakuelimisha washiriki juu ya kilimo cha ndizi kibiashara, pia fursa zilizopo katika kilimo cha ndizi. Elimu juu ya matumizi ya teknolojia ili kuongeza kipato. Semina hii itatolewa kwa lugha ya Kiswahili. Washiriki 50 pekee watakao jisajili na kuthibitishwa baada ya malipo ndio watakao pata nafasi ya kuudhuria semina. Semina hii imegawanyika katika vipindi vinne, mwisho wakila kipindi kutakua na muda wakujadili na kuuliza maswali yanayohusu mada husika. 1. Changamoto za kilimo cha ndizi, suluhisho la…
Find out more »